KLABU ya Simba, imeinasa saini ya mshambuliaji, Ibrahim Doumbia kutoka AS Korofina ya Mali kwa mkataba wa miaka miwili. Doumbia (19) raia wa Mali, ni mshambuliaji kijana anayetajwa kuwa mwenye uwezo ...
NYOTA wa zamani wa England, Jermain Defoe, ameondoka katika klabu ya Woking inayoshiriki National League baada ya kukaa ...
Bournemouth imekataa ofa ya pauni 64 milioni iliyowasilishwa na Chelsea kwa ajili ya kumsajili kiungo Alex Scott.
ARSENAL ipo tayari kuwasilisha ofa ya pauni milioni 70 muda wowote kwa ajili ya nahodha wa Newcastle United, Bruno Guimaraes.
Kama hatutajifunza kwa Wahispaniol abasi hatutajifunza tena. Kuna yule muhenga ambaye aliwahi kutuambia kwamba ‘asiyefunzwa ...
BARCELONA imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Karim Adeyemi, kwa ada inayoweza kufikia euro milioni 31 ...
ILIPOISHIA “Ushahidi mzuri ni wa wake wa mshitakiwa wa kwanza ambao, licha ya wao kuwa washitakiwa, wameeleza mahakamani hapa ...
TIMU ya ngumi ya ridhaa ya Tanzania, leo itaanza safari ya kutafuta medali katika Michezo ya Jumuiya ya Madola ya mwaka 2026, ...
Nyuma ya Kamera imepata nafasi ya kupiga stori za hapa na pale na mchekeshaji mahiri wa kike nchini, Tabu Mtingita anasimulia ...
ZAIDI ya miaka mitatu tangu kuvunjika kwa ndoa yake na aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba na Yanga, Haji Manara, Rushayna ...
KAJALA Masanja na Harmonize wameibua mjadala mpya mitandaoni baada ya baadhi ya mashabiki kuanza kuhoji hatma ya uhusiano wao ...
BAADA ya kuchangia Polisi Tanzania kurejea Ligi Kuu Bara msimu wa 2025-2026, aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Tariq Seif ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results