MABONDIA wenye hadhi ya juu duniani wataingia ulingoni leo na kesho kwa Tyson Fury, Anthony Joshua, Tim Tszyu na Errol Spence ...
Dirisha hili la usajili pekee limevunja rekodi kadhaa. Chelsea imekubali kumchukua Morgan Rogers kutoka Aston Villa kwa pauni ...
HATIMA ya kiungo mshambuliaji wa Simba, Neo Maema kuendelea kubakia ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2026-2027, iko shakani ...
Rais wa heshima wa Simba SC, Mohammed Dewji 'MO' ameongoza mamia ya waombolezaji kwenye mazishi ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo, Idd Kajuna.
MAREKANI inaweza kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia 2038, licha ya kuwa imehitimisha hivi karibuni kuandaa mashindano ya mwaka 2026 kwa ushirikiano na Canada na Mexico.
RAPA maarufu wa Marekani, Cardi B amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikimuhusisha kutoka kimapenzi na kipa wa timu ...
KIUNGO wa Real Madrid, Jude Bellingham, ndiye mchezaji pekee wa England aliyejumuishwa katika Kikosi Bora cha Kombe la Dunia ...
RAIS wa Shirikisho la Soka Argentina (AFA), Claudio "Chiqui" Tapia, anadaiwa kushikiliwa kwa muda na maafisa wa FBI kwenye ...
ARSENAL imethibitisha kuwa beki wake tegemeo William Saliba atakosekana uwanjani kwa muda mrefu baada ya kupata jeraha la ...
JUMANNE ya wiki hii, kiungo wa mpira, Adolf Mtasingwa alikamilisha uhamisho wa kujiunga na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ...
UONGOZI wa Ligi Kuu ya Soka Marekani (MLS) imeanzisha uchunguzi dhidi ya Inter Miami kufuatia madai ya kukiuka taratibu za ...
ILIPOISHIA Baada ya kuongozwa na wakili wa serikali ikafika zamu ya kuhojiwa maswali na wakili wa utetezi. Mganga huyo ...