Vita inayoendelea Mashariki ya Kati, iliyoanzishwa na Marekani pamoja na mshirika wake Isarel, dhidi ya Iran, tayari wachumi wametaja athari za mapema zitakazoanza kushuhudiwa barani Afrika. Miongoni ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Kapteni Hamad Bakari Hamad, amesema nyasi za baharini (majani bahari) zina ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA), umeanzisha mpango wa kushirikiana na Shirika la Mzinga katika kuboresha upatikanaji wa nishati safi ya kupikia hasa kwa wananchi wa vijijini. Mwenyekiti wa Bodi ya RE ...
Iran, imeanza tena mashambulizi yake ya anga dhidi ya nchi za Ghuba ya Kiarabu, ikilenga makambi ya Marekani kote katika eneo hilo. Umesikkaa mlipuko mkubwa asubuhi ya leo, huko Doha na moshi mwingi u ...
Mgonjwa mahututi aliyekuwa akihamishiwa hospitali ya Rufani Bombo, mkoani Tanga amefariki dunia baada ya gari ya kubebea ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres, amelaani kuongezeka kwa mvutano wa kijeshi na kuonya kuwa amani na usalama wa kimataifa vinadhoofishwa. Mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama ...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO), Tabia Makame Muhammed, amemtembelea na kumfariji mama mjane, Mwajuma Robat Chipalo, anayesumbuliwa na saratani ya shingo ya kizazi, kwa kumpatia msaad ...
Ayatollah Ali Khamenei, alijiunga na wakosoaji wa Shah wa Iran, mfalme ambaye hatimaye alipinduliwa na mapinduzi ya mwaka 1979, ambayo mara nyingi hujulikana kama Mapinduzi ya Kiislamu. Kwa miaka ming ...
Ayatollah Ali Khamenei, 86, amekuwa kiongozi wa pili mkuu tangu mapinduzi ya 1979 baada ya kifo cha Ruhollah Khomeini mnamo ...
SERIKALI imeanza kushughulikia tatizo la wanyama Tembo wanaowasumbua wananchi katika vijiji 11 wilayani Kondoa kwa kuwafunga Tembo wawili visukuma mawimbi ili kuondoa kero kwa wananchi waweze kufanya ...
Viongozi wa dini nchini wametakiwa kuendelea kutengeneza mioyo ya waumini kupitia mafundisho ya Neno la Mungu ili wawe sehemu ya kujenga na kuimarisha amani ya taifa. Wito huo umetolewa na Mchungaji ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Palamagamba Kabudi, amempongeza mwanazuoni mashuhuri wa Tanzania, Keto Mshigeni, kwa kutunga kitabu kinachoelezea maisha yake, akisema ni hazina muhimu kwa kizazi cha sas ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results