Vita inayoendelea Mashariki ya Kati, iliyoanzishwa na Marekani pamoja na mshirika wake Isarel, dhidi ya Iran, tayari wachumi wametaja athari za mapema zitakazoanza kushuhudiwa barani Afrika. Miongoni ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Kapteni Hamad Bakari Hamad, amesema nyasi za baharini (majani bahari) zina ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA), umeanzisha mpango wa kushirikiana na Shirika la Mzinga katika kuboresha upatikanaji wa nishati safi ya kupikia hasa kwa wananchi wa vijijini. Mwenyekiti wa Bodi ya RE ...
Iran, imeanza tena mashambulizi yake ya anga dhidi ya nchi za Ghuba ya Kiarabu, ikilenga makambi ya Marekani kote katika eneo hilo. Umesikkaa mlipuko mkubwa asubuhi ya leo, huko Doha na moshi mwingi u ...
Mgonjwa mahututi aliyekuwa akihamishiwa hospitali ya Rufani Bombo, mkoani Tanga amefariki dunia baada ya gari ya kubebea ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres, amelaani kuongezeka kwa mvutano wa kijeshi na kuonya kuwa amani na usalama wa kimataifa vinadhoofishwa. Mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama ...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO), Tabia Makame Muhammed, amemtembelea na kumfariji mama mjane, Mwajuma Robat Chipalo, anayesumbuliwa na saratani ya shingo ya kizazi, kwa kumpatia msaad ...
Ayatollah Ali Khamenei, alijiunga na wakosoaji wa Shah wa Iran, mfalme ambaye hatimaye alipinduliwa na mapinduzi ya mwaka 1979, ambayo mara nyingi hujulikana kama Mapinduzi ya Kiislamu. Kwa miaka ming ...
Ayatollah Ali Khamenei, 86, amekuwa kiongozi wa pili mkuu tangu mapinduzi ya 1979 baada ya kifo cha Ruhollah Khomeini mnamo ...
Mkuu wa mkoa wa shinyanga Mboni Mhita akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa TFF wa 20 wa mwaka unaofanyika wilayani Kahama. SERIKALI mkoani Shinyanga imepongeza mchango unaoendelea kutolewa na Rais ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results