Dar es Salaam. Mwanamuziki wa muziki wa dansi, Christian Bella, ameendelea kuwashukuru Watanzania kwa sapoti kubwa wanayoendelea kumpa katika safari yake ya muziki, huku akiahidi kuwapa burudani ya ...
Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema elimu ya fedha kwa wananchi inasaidia kujenga jamii yenye uwezo wa kufanya maamuzi sahihi ya kifedha na kuchochea ...
Mwamuzi maarufu wa soka England, Anthony Taylor (47) ametangaza kustaafu kazi hiyo huku akisema mahitaji makubwa ya urefa ndio yamemfanya achukue uamuzi huo. "Kuwa mwamuzi katika kiwango cha juu ...
Baadhi ya wachimbaji wadogo pamoja na wakazi wa Kijiji cha Chirorwe wilayani Musoma wakiwa kwenye mkutano wa hadhara kwaajili ya kusikilizwa kero zao na Mkuu wa Mkoa wa Mara,Kanali Evans Mtambi. Picha ...
Dar es Salaam. Wakati aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Omar amekabidhi rasmi ofisi kwa Kaimu Sheikh wa Mkoa huo, Abasi Ramadhani, Bakwata imesema inaona yanayoendelea kwenye ...
Morogoro. Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Dunstan Kyobya, amewataka wananchi na watumishi wa Halmashauri ya Mji Ifakara kutokuwa na hofu kutokana na mauaji ya ofisa ardhi wa halmashauri hiyo, Zakaria ...
Dar es Salaam. Leo, Jumanne, Julai 21, 2026, Yanga imetambulisha rasmi wasaidizi wanne ambao Kocha wao Mkuu mpya, Manqoba Mngqithi alioingia nao klabuni hapo kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo.
Dar es Salaam. Jumuiya ya Wafanyakazi wa Kitaaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA) imeibua malalamiko ikidai ni ukiukwaji wa haki za msingi za mtuhumiwa, baada ya mhadhiri wa chuo hicho, ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Ufaransa (FFP) limempa Zinedine Zidane mkataba wa miaka miwili wa kuinoa timu ya taifa ya nchi hiyo. Zidane anachukua mikoba iliyoachwa na Didier Deschamps ambaye kibarua ...
Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imebaki katika nafasi yake ya 112 kwenye viwango vya ubora vya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa mwezi Julai. Kutocheza mechi za kirafiki za kalenda ya FIFA ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results