MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imevunja rekodi yake ya makusanyo, ikikusanya zaidi ya Sh. trilioni 3.1 kwa mara ya kwanza ndani ya mwezi mmoja (Septemba mwaka huu). Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph ...
NAIBU WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geofrey Pinda, ametoa ufafanuzi juu ya mkanganyiko ambao umekuwa ukijitokeza kwa wananchi juu ya tofauti iliyoko kati ya kodi ya pango la ardhi na ...
Simanzi imetanda katika Mtaa wa Olmokeya, Kata ya Sinoni jijini Arusha, baada ya mtu anayedaiwa kuwa fundi ujenzi, Salmin Rajab (29), kudaiwa kumuua mtoto wake mwenye umri wa miezi minane kwa ...
RAIS Samia Suluhu Hassan ameadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika kwa kualika watoto kutoka sehemu mbalimbali nchini kisha kusherehekea nao kwa michezo, kuchora na kutembelea Ikulu ya jijini Dar es Salaam ...
SERIKALI kwa kushirikiana na wadau, imekuwa ikiendesha kampeni ya masuala jumuishi ya kifedha kwa makundi mbalimbali ili kupanua uelewa kuhusu masuala yanayohusu sekta hiyo. Lengo la kuwapo kwa ...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanzishwa kwa majimbo mapya nane ya uchaguzi pamoja na kubadilishwa kwa majina ya majimbo mengine 12, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu ...
Leo Oktoba 14, 2024, imetimia miaka 25 tangu kilipotokea Kifo cha Muasisi na Rais wa Kwanza wa Tanganyika, Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyefariki jijini London akiwa katika ...
Kikosi cha Taifa Stars, kinachotarajiwa kuvaana na Niger kwenye mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026, itakayopigwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar leo saa 10:00 alasiri. WAKATI Taifa ...
Rais Samia Suluhu Hassan, amehudhuria hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, iliyofanyika leo Machi 21, 2025, katika Ikulu ya Windhoek. Rais Nandi-Ndaitwah ...
Wakaazi wa Manispaa ya Masindi wameachwa na mshangao baada ya mwanaume aliyetangazwa kuwa amekufa kurudi akiwa hai, saa chache tu baada ya mwili unaoaminika kuwa wake kuzikwa. Kwa mujibu wa mtandao wa ...
KATIKA hatua ya kihistoria ya kutetea afya za Watanzania na kulinda mazingira, kundi la wanaharakati wanne limefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu Masjala Kuu ya Dodoma, likitaka serikali ichukue ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results