MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imevunja rekodi yake ya makusanyo, ikikusanya zaidi ya Sh. trilioni 3.1 kwa mara ya kwanza ndani ya mwezi mmoja (Septemba mwaka huu). Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph ...
SERIKALI kwa kushirikiana na wadau, imekuwa ikiendesha kampeni ya masuala jumuishi ya kifedha kwa makundi mbalimbali ili kupanua uelewa kuhusu masuala yanayohusu sekta hiyo. Lengo la kuwapo kwa ...
Wakaazi wa Manispaa ya Masindi wameachwa na mshangao baada ya mwanaume aliyetangazwa kuwa amekufa kurudi akiwa hai, saa chache tu baada ya mwili unaoaminika kuwa wake kuzikwa. Kwa mujibu wa mtandao wa ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewapatia Wahasibu elimu ya mabadiliko ya sheria za kodi, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa masuala ya kodi kwa Wahasibu. Akizungumza katika semina ya utoaji elimu ...
MJADALA mzito umeibuka katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, baada ya upande wa utetezi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuibua hoja ya makosa ...
UMOJA wa Mataifa (UN), unazitaja ajali za barabarani kuwa ndizo zinazoongoza kuua vijana Afrika. Ni tangazo la Mei mwaka jana, linalozitaja serikali za Afrika zichukue hatua mpya za pamoja kuzikabili, ...
Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) umesema mfumo wa uagizaji wa mafuta kwa pamoja umeendelea kuimarisha upatikanaji wa mafuta nchini, kudhibiti mfumuko wa bei, kuhakikisha ubora wa mafuta ...
Sekta ya madini nchini inaendelea kushuhudia mageuzi makubwa ya kuongeza thamani si tu kwa madini ya vito na metali, bali pia kwa madini ya ujenzi kama mchanga. Mageuzi haya yamefungua fursa mpya kwa ...
Nyota wa Simba, Mzambia, Clatous Chama. WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara imemalizika, tayari baadhi ya timu zimeshaanza mchakato wa kusaka wachezaji wapya kwa ajili ya msimu ujao. Na hii haipo hapa ...
TANZANIA has set an ambitious target of transforming the Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) into a global hub for innovation, research, technology and international trade by 2050, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results