Tunasikitika kuwaarifu wasomaji wetu wapendwa kuwa tunalazimika kusitisha uchapishaji wa maudhui mtandaoni kuanzia sasa ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Arusha. Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa ...
Dodoma. Wakati mchakato kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 ukiendelea, wagombea na wananchi wanapaswa kutambua nguzo 10 za kufanya kampeni. Uchaguzi huo ni mchakato ...
Dar es Salaam. Wizara ya Afya imesema kuna ongezeko la virusi wanaosababisha homa kali ya mafua inayoambukiza maarufu influenza, waliyotaja kusababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Homa hiyo ambayo ...
Diwani wa Chiwale (CCM), wilayani Masasi, Yusuph Mataula akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi. Picha na Edwin Mjwauzi Masasi. Diwani wa Chiwale (CCM), wilayani Masasi, Yusuph Mataula amejikuta ...
Nairobi. Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya, Moses Wetang’ula ametangaza ushiriki wa umma katika hoja ya kumng’oa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua Ijumaa, Oktoba 4, 2024. Kwa mujibu wa tovuti ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Oktoba 2, 2024. Picha na Rajabu Athumani Tanga. Siku tisa tangu yalipotokea mauaji ya Jonais ...
Dar es Salaam. Serikali imepanga Oktoba 15, 2024 kuwasomea maelezo ya mashahidi na vielelezo (Commital Proceedings), aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande (66) ...
Presha imeanza kupanda kuelekea dabi ya Kariakoo itakayopigwa Oktoba 19. Kambini Yanga, Kocha Miguel Gamondi kuna jambo linamfanya akune kichwa, lakini hana namna. Simba na Yanga zinavaana kwenye ...
Dar es Salaam, Ikiwa leo Oktoba 2, mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul 'Diamond' anasheherekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 35, ndani ya miaka hiyo msanii huyo tayari amefanya ...
Gari la kampuni ya Iris lililoacha njia na kusababisha vifo vya watu wa wawili Pemba. Pemba. Watu wawili akiwemo mwalimu wa Shule ya Msingi Finya wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kutokana na ...