Tanga. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Tanga imebaini dosari mbalimbali katika usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo, hali inayohatarisha matumizi sahihi ya fedha ...
Morogoro. Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Dunstan Kyobya, amewataka wananchi na watumishi wa Halmashauri ya Mji Ifakara kutokuwa na hofu kutokana na mauaji ya ofisa ardhi wa halmashauri hiyo, Zakaria ...
Dar es Salaam. Hatimaye Baraza la Ulamaa la Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limeunda tume ya watu sita kuchunguza tuhuma zinazowakabili masheikh watatu waliosimamishwa kwa madai ya kuwa na ...
Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imebaki katika nafasi yake ya 112 kwenye viwango vya ubora vya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa mwezi Julai. Kutocheza mechi za kirafiki za kalenda ya FIFA ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Katika ushahidi wake Maduhu ambaye ni mtu mwenye ualibino amedai alizuiwa na ofisa wa Jeshi la Magereza Ukonga kuonana na Lissu kwa sababu ya ualibino wake kwa namna isiyo ya moja kwa moja. Ametoa ...
Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA-HC), Dk Ntuli Kapologwe (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Emmanuel Tayari, vifaa tiba, dawa na ...
Dar es Salaam. Jumuiya ya Wafanyakazi wa Kitaaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA) imeibua malalamiko ikidai ni ukiukwaji wa haki za msingi za mtuhumiwa, baada ya mhadhiri wa chuo hicho, ...
Kylian Mbappe amemaliza Fainali za Kombe la Dunia 2026 akiwa na rekodi tatu ambazo zinaweza kuchukua muda mrefu kuvunjwa na wachezaji wengine. Kwanza ameweka rekodi ya kuwa Mfungaji Bora wa muda wote ...
Mbunge wa zamani wa Simanjiro, mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka (katikati) akizungumza kwenye kijiji cha Naepo Kata ya Naisinyai katika sherehe ya kuvuka rika kwa watoto wa mdau wa maendeleo ...
Waziri wa Madini, Antony Mavunde, akikabidhi leseni za uchimbaji kwa wachimbaji wadogo wa madini katika Kijiji cha Gulumwa, Kata ya Mhande, Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza. Picha na PraiseGod Mgumba.
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Ofisi ...