Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Bukoba imetupilia mbali rufaa ya Abdul Suleiman ya kupinga kifungo cha maisha jela, baada ya kuridhika kuwa ushahidi uliotolewa na watoto wanne waliodai kubakwa ...
Viongozi wa Ulinzi wa Tanzania na China wakishiriki maadhimisho ya miaka 99 ya Jeshi la Jamhuri ya Watu wa China jinini Dar es Salaam, Julai 2026. Dar es Salaam. Tanzania imeeleza umuhimu wa ...
Dar es Salaam. Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), imeeleza katika kipindi hiki sekta ya habari inaendelea kubadilika kwa kasi kutokana na maendeleo ya teknolojia huku ikiendelea kuwekeza ...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameendeleza mabadiliko ndani ya safu ya juu ya utumishi wa umma baada ya kufanya uteuzi na uhamisho wa manaibu makatibu wakuu katika ofisi na wizara mbalimbali.
Mwamuzi maarufu wa soka England, Anthony Taylor (47) ametangaza kustaafu kazi hiyo huku akisema mahitaji makubwa ya urefa ndio yamemfanya achukue uamuzi huo. "Kuwa mwamuzi katika kiwango cha juu ...
Juzi, nilifanya ziara ya kikazi iliyoishia kuwa ya kisasi na visasi kwenye kaya moja ya kufikirika kutokana na maajabu na mauzauza niliyoambiwa na kushuhudia pale wadudu walivyothamini hadi mafyatu wa ...
Morogoro. Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Dunstan Kyobya, amewataka wananchi na watumishi wa Halmashauri ya Mji Ifakara kutokuwa na hofu kutokana na mauaji ya ofisa ardhi wa halmashauri hiyo, Zakaria ...
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 33 kutoka Masasi hadi Newala. Newala. Waziri wa Nishati, ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Ufaransa (FFP) limempa Zinedine Zidane mkataba wa miaka miwili wa kuinoa timu ya taifa ya nchi hiyo. Zidane anachukua mikoba iliyoachwa na Didier Deschamps ambaye kibarua ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imebaki katika nafasi yake ya 112 kwenye viwango vya ubora vya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa mwezi Julai. Kutocheza mechi za kirafiki za kalenda ya FIFA ...