MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imevunja rekodi yake ya makusanyo, ikikusanya zaidi ya Sh. trilioni 3.1 kwa mara ya kwanza ndani ya mwezi mmoja (Septemba mwaka huu). Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph ...
MJADALA mzito umeibuka katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, baada ya upande wa utetezi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuibua hoja ya makosa ...
Simanzi imetanda katika Mtaa wa Olmokeya, Kata ya Sinoni jijini Arusha, baada ya mtu anayedaiwa kuwa fundi ujenzi, Salmin Rajab (29), kudaiwa kumuua mtoto wake mwenye umri wa miezi minane kwa ...
KATIKA hatua ya kihistoria ya kutetea afya za Watanzania na kulinda mazingira, kundi la wanaharakati wanne limefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu Masjala Kuu ya Dodoma, likitaka serikali ichukue ...
Wakaazi wa Manispaa ya Masindi wameachwa na mshangao baada ya mwanaume aliyetangazwa kuwa amekufa kurudi akiwa hai, saa chache tu baada ya mwili unaoaminika kuwa wake kuzikwa. Kwa mujibu wa mtandao wa ...
Siri za serikali, ni taarifa nyeti zinazohusiana na ulinzi, diplomasia, uchumi na mipango ya kimkakati ya nchi. Hakuna asiyetambua kwamba, uvujaji wa taarifa hizi unaweza kuhatarisha ustawi na usalama ...
HIVI karibuni umaarufu wa ufahamu kuhusu kizazi kilichopo na vilivyopita, umeshika kasi hasa mitandaoni. Kila kizazi huwa na jina lake. Hivi ndio vizazi vyenyewe kwa mujibu wa wanasayansi duniani. Cha ...
Watanzania wametakiwa kuepuka mashinikizo yoyote yanayoweza kuhatarisha usalama wa nchi, yakiwemo maandamano, hasa wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Rai hiyo imetolewa na Nabii wa ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewapatia Wahasibu elimu ya mabadiliko ya sheria za kodi, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa masuala ya kodi kwa Wahasibu. Akizungumza katika semina ya utoaji elimu ...
TANZANIA ni moja ya nchi yenye vitu vingi vinavyoshangaza na wakati mwingine huchochea mijadala ambayo inazidi kuitangaza kiutalii na kuvutia watafiti na watalii. Mfano wa maajabu ni kuhama kwa nyumbu ...