Mwenyekiti wa Mkutano huo Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu–Kazi, Ajira na Mahusiano, Zuhura Yunus Abdallah akiwa na makamu mwenyekiti ambaye ni Mkuu wa Ajira na Kazi wa Tume ya Umoja wa Afrika ...
Lisbon, Ureno. Sakata linalomuhusu Cristiano Ronaldo kujiondoa katika timu ya taifa ya Ureno limechukua sura mpya baada ya mwenza wake, Georgina Rodríguez, kumkosoa kocha Jorge Jesus hadharani kisha ...
Dodoma. Dk Netho Ndilito ameongoza kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) za kumpata mgombea ubunge wa Chamwino, akipata kura 2,401 kati ya 6,172 zilizopigwa jana Jumamosi, Oktoba 3, 2026. Dk ...
Kiwango cha Nathaniel Chilambo katika mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Madagascar jana jijini Meknes, Morocco kimemfanya atajwe na mitandao tofauti barani Afrika kuwa ndiye alikuwa mchezaji bora wa ...
Dar es Salaam. Bado sakata la Laurent Kweka kudaiwa kumuua mke wake, Jeni Urassa, kwa risasi limezidi kuchukua sura mpya baada ya familia za pande hizo mbili kutofautiana kuhusu upande upi uopaswa ...
Lausanne, Uswisi. Hatma ya ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 kati ya Morocco na Senegal itaingia hatua nyingine Oktoba 8, 2026, wakati Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) ...
Dar es Salaam. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imebadili ratiba ya kufungwa kwa shule za awali, msingi na sekondari Tanzania Bara, baada ya tahadhari ya uwezekano wa kunyesha mvua kubwa za El ...
Dar es Salaam. Kwa miaka mingi, watu wamekuwa wakiamini kuwa kupiga mswaki, hakujakamilika hadi mdomo usukutuliwe kwa maji mengi na kuondoa kabisa mabaki ya dawa ya meno. Kwa baadhi, hata kubaki na ...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidhi Ameir akionyesha mwongozo uliozinduliwa leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Ujumuishaji wa Elimu ya Fedha katika mitaala ya elimu ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa akizungumza na wananchi wa Kitangiri, Ibungiro na Pasiansi wilayani Ilemela. Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limemkamata Lameck Masanja (24) ...
Rabat, Morocco. Morocco imeandika historia mpya katika soka la Afrika baada ya kupanda hadi nafasi ya tano katika viwango vya dunia vya ubora vya Shirikisho la Soka duniani (FIFA) vya muda, ikiifikia ...
Brussels. Wakati macho ya Tanzania yakielekezwa kwenye Mahakama Kuu kusubiri hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Oktoba 1 ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results