Maelezo ya picha, Ramani inayotumia makadirio ya Equilibrium (upande wa kulia) na nyingine inayotumia makadirio ya Mercator (upande wa kushoto). Iliyochapishwa 7 Septemba 2026 Muda wa kusoma: Dakika 5 ...
Ramani hizi zitabadilisha namna unavyoitazama dunia, na Alastair Bonnett anajua hilo: yeye mwenyewe aliguswa na kupata "mshtuko" siku aliyogundua hayo. Hisia hii ilikuwa ilifuatia uteuzi wake kusoma ...
Umoja wa Mataifa umeunga mkono matumizi ya ramani mpya inayolenga kuonyesha ukubwa wa mabara kwa uwiano sahihi zaidi. Kwa nini ramani imekuwa suala la mjadala wa kimataifa? Baraza Kuu la Umoja wa ...
Katika miaka ya hivi karibuni, sauti za mashirika ya kiraia kote ulimwenguni zimejitokeza kuilaani, kwani Afrika inawakilishwa kwa uwiano mdogo mara kumi kuliko ukubwa wake halisi. Na hivyo ndivyo ...
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) limepitisha azimio la kuhamasisha matumizi ya ramani mpya ya dunia inayoonyesha ukubwa halisi wa mabara badala ya ramani ya zamani ya Mercator. Baraza Kuu la Umoja ...
Azimio la UN la kutumia ramani zinazoonyesha ukubwa halisi wa Afrika, mabadiliko ya mitaala na kampeni za kuonyesha mafanikio vinaanza kubadili namna bara hilo linavyoonekana duniani.