Nchini Kenya mtandao wa kijamii wa TikTok umekuwa ukipata faida kutokana na matangazo ya moja kwa moja yenye maudhui ya ngono inayohusisha vijana wadogo walio na umri wa miaka 15, BBC yaambiwa.
Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imependekeza umri wa kuruhusiwa kujihusisha na ngono nchini Kenya upunguzwe kwa miaka miwili. Kwa sasa, sheria za Kenya zinaruhusu vijana wa miaka 18 na kuendelea ...
Wasikilizaji watoa maoni kuhusu hatua ya Mahakama moja nchini Kenya, kuamuru kwamba msichana wa umri wa miaka 16 anayekiri kushiriki ngono na mwanaume si thibitisho la unyanyasaji wa kigono, uamuzi ...
Wizara ya Afya katika Kaunti ya Kisumu, imethibitisha uhaba wa mipira hiyo, na kuwataka wageni wanaohudhuria mkutano huu kutotegemea kupata mipira ya bure. Gregory Ganda Kaimu Waziri wa Afya katika ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results